National Anthems Lyrics
Tanzania National Anthem Lyrics
Tanzania
Original Kiswahili Words
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
CHORUS
Ibariki Afrika
(repeat)
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
CHORUS
Ibariki Tanzania
(repeat)
Tubariki watoto wa Tanzania.
English:
God Bless Africa.
Bless its leaders.
Let Wisdom Unity and
Peace be the shield of
Africa and its people.
CHORUS
Bless Africa,
(repeat)
Bless the children of Africa.
God Bless Tanzania.
Grant eternal Freedom and Unity
To its sons and daughters.
God Bless Tanzania and its People.
CHORUS
Bless Tanzania,
(repeat)
Bless the children of Tanzania.
Back to: National Anthems